#shaffidauda

4447
Files

Images & Videos #shaffidauda

#JICHOLAMWEWE PART 2....
Ukweli Ni Kwamba Wanaofuatana Na Jicho La Mwewe Tayari Wameshaanza Kuona Ma ...

Jun 6, 2020

#JICHOLAMWEWE PART 2.... Ukweli Ni Kwamba Wanaofuatana Na Jicho La Mwewe Tayari Wameshaanza Kuona Mafanikio Ya FRANK LAMPARD Akiwa Kama Kocha Katika Klabu Ya CHELSEA Japokuwa Inaweza Kumchukua Muda Kutokana Na Ubora Walionao MANCHESTER CITY Na LIVERPOOL..................... Kutengeneza Timu Iwe Bora Duniani Huwa Ni Kitu Kinachochua Muda Mrefu Na Kizuri Zaidi Kwa LAMPARD Ana Wachezaji Wenye Wastani Mzuri Wa Umri Hiyo Itamsaidia Kuijenga Timu Kwa Muda Mrefu Lakini Isiwe Suprise Kwetu Kuwaona BLUES Wakiwa Katika Kiwango Bora Kwa Muda Mfupi....Sidhani Kama Kuna Anaepinga Kuwa Usajili Wa Kwanza Wa LAMPARD Hauna Shaka,Hapa Namzungumzia HAKIM ZIYECH...................! Najaribu Kuuchungulia Muunganiko Wake Na Akina CALLUM HUDSON ODOI Pamoja Na TAMMY ABRAHAM Naona Mambo Yatakua Safi Upande Wa Juu Lakini Pia Naiona Nguvu Nyingine Kuongezeka Zaidi Endapo Usajili Wa Mshambuliaji Hatari Wa Kijerumani TIMO WERNER Utakapokamilika Na Hapa Napata Jibu Kuwa LAMPARD Yuko Serious Kuyatafuta Mafanikio............ #JICHOLAMWEWE Linageuka Upande Wa Kushoto Linamuona Mlinzi Hatari Wa LEICESTER CITY na ENGLAND, BEN CHIWELL Akitakiwa Pia Na LAMPARD Ndani Ya CHELSEA, Nikijaribu Kuliangalia Soko La Wachezaji Nauona Ugumu Wa Kupata Wachzaji Wazuri Kutoka Katika Timu Nzuri Kitu Ambacho LAMPARD Anaweza Kufanikiwa Na Endapo Atafanikiwa Kufanya Sajili Za Maana Basi Tutegemee Ushindani Mkubwa Kutoka Kwa THE BLUES Kwa Msimu Ujao.............! #JICHOLAMWEWE Linafunga Pazia Likimtakia Mafanikio Mema FRANK LAMPARD Katika Harakati Zake.........................! Written By sheby255 Follow 255news_ #shaffidauda #cloudstv #cloudsfmtz #millardayoupdates #wasafimedia #wasafitv #simbasc #bbc #premierleague #liverpoolfc #barcelona #realmadrid #skysport

#JICHOLAMWEWE
Najaribu Kuanza Kuchungulia Kwa Mbali Namuona Kiungo Mstaarabu Mwenye Nidhamu Na Ujuzi ...

Jun 6, 2020

#JICHOLAMWEWE Najaribu Kuanza Kuchungulia Kwa Mbali Namuona Kiungo Mstaarabu Mwenye Nidhamu Na Ujuzi Wa Hali Ya Juu Akitundika Daruga Lake Baada Ya Kuitumikia Kwa Muda Mrefu Zaidi Klabu Ya CHELSEA... Hapa Naanza Kuziona Harakati Zake Za Kutaka Kuwapa Ujuzi Vijana Wengine Jinsi Ya Kusakata Kabumbu Na Anaamua Kuingia Katika Sekta Ya Ualimu Wa Mpira, Wazo La Tofauti Kabisa Na Akina SAMUEL ETOO Au DIDIER DROGBA ....... Kizuri Zaidi Ni Kwamba Heshima Upole Na Aliokua nao Uwanjani Unanionyesha Kabisa FRANK LAMPARD Anaweza Kuwa Mwalimu Bora Wa Mpira......... Wafuatiliaji Wa Soka Walimuona Akipewa Nafasi Ya Kufundisha Klabu Ya DERBY COUNTY Ambayo Ilikosa Alama Kidogo Za Kuipandisha PREMIER LEAGUE Baada Ya Kocha MAURICIO SARRI Kushindwa Kufikia Malengo Kwa THE BLUES Maswali Mengi Yaliibuka Kuwa Nani Ataziba Nafasi Hiyo Kuwafanya CHELSEA Kuwa Hatari Zaidi Tena Kama Miaka Kadhaa Iliyopita........ Ujasiri Wao Ulisababisha Kujilipua Kwa Kuamua Kumpa Nafasi LAMPARD Kuwa Kocha Mkuu Wa Timu Hiyo Tena Katika Kipindi Kigumu Timu Ikiwa Imefungiwa Kufanya Usajili Jambo Lililowatia Shaka Zaidi Watu Wa Soka....... Kwa Mashabiki Wa CHELSEA Walikua Tayari Kwa Lolote Litakalotokea Mbele Yao, Wakiamini Kuwa Hata Wasipofanya Vizuri Tatizo Litakua Ni Kufungiwa Usajili Na Si Kocha....... #JICHOLAMWEWE Linazidi Kumuona LAMPARD Akienda Kufanikiwa Tofauti Na Watu Wanavyofikiria.....Baada Ya Kupambana Kuchezesha Vijana Wadogo Akina MASON MOUNT, BILLY GILMOUR Na Wengine Wengi Sasa Ameanza Kufanya Usajili Na Hapa Ndipo #JICHOLAMWEWE Linaanza Kuyatathmini Makubwa Atakayofanya FRANK LAMPARD Ukweli Ni..................Itaendelea Post Inayofuata Written By sheby255 #shaffidauda #cloudstv #cloudsfmtz #millardayoupdates #wasafimedia #wasafitv #simbasc #bbc #premierleague #liverpoolfc #barcelona #realmadrid #skysport

Triangular  slave trade wengi tuliosoma O level kwa kuwasikiliza walimu vizuri darasani history ilik ...

Jun 6, 2020

Triangular slave trade wengi tuliosoma O level kwa kuwasikiliza walimu vizuri darasani history ilikuwa kama movie hivi unasikiliza kwa hisia ukiwaza namna mambo ya zamani yalivyokuwa nilifundishwa TST kuwa kuna watumwa walibebwa africa kwenda america pia wapo waliobebwa kutoka africa na america kwenda ulaya yote ilikuwa ni kwenda kufanya kazi kwa wazungu leo tunawatambua wachezaji wa africa na america wako ulaya wanacheza kwa kupambania team za wazungu ila kinachowasaidia ni pesa tu inalipwa kwa wakati ya kutosha tofauti na babu zetu waliopewa ugali ndo mshahara wao WAPI KUNA VIPAJI KWA SASA ??ULAYA AFRICA AU AMERICA lukinjatigana #goat #player motivator #ronaldo #cr7 #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #sokaletu #sokalabongo #vpl #balama #sport #football #soccer #diamondplatnumz #michezo #nguvumoja #cloudstv #sports #sportextreme #alikiba #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #tanzania

Tupambanishe BARA LA ULAYA VS BARA LA AMERICA KUSINI .. naona kuna upande kama team ya taifa tu moja ...

Jun 5, 2020

Tupambanishe BARA LA ULAYA VS BARA LA AMERICA KUSINI .. naona kuna upande kama team ya taifa tu moja hakuna wachezaji kwa sasa vipaji vimeisha kabisa huko ardhi imefubaa kuzalisha wachezaji hakuna tunasubiri tu nguvu ya soda kuwaona #ronaldo #cr7 #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #lipulifc #karia #sokaletu #sokalabongo #vpl #balama #sport #football #soccer⚽️⚽️⚽️

Milan kubomolewa

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameripotiwa kufanya mawasiliano na kiungo w ...

Jun 5, 2020

Milan kubomolewa Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameripotiwa kufanya mawasiliano na kiungo wa AC Milan Ismael Bennacer katika harakati ya kumshawishi kuhamia Etihad majira ya kiangazi . Kiungo huyo wa kimataifa wa Algeria ana thamani ya Pauni Milioni 45 katika mkataba wake . edgar_maseko . . . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

MABADILIKO YA RATIBA #ASFC 
JUNE 28 ❌
 π—π—¨π—‘π—˜ 𝟯𝟬 βœ”
Young Africans Vs Kagera Suga ...

Jun 5, 2020

MABADILIKO YA RATIBA #ASFC JUNE 28 ❌ π—π—¨π—‘π—˜ 𝟯𝟬 βœ” Young Africans Vs Kagera Sugar Fc #π˜πŽπ”ππŠπ€π† Simba sc Vs Azam fc #SIMBAZM #wanankurukumbi Tunachana pale pale kwenye mshonoπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague

Chelsea imekubali dili la kumsajili Timo Warner,, kilicho baki Ni namna ya Vilabu kukubaliana namna  ...

Jun 5, 2020

Chelsea imekubali dili la kumsajili Timo Warner,, kilicho baki Ni namna ya Vilabu kukubaliana namna ya kulipa hiyo pesa na maslai ya mchezaji kwa upande Wa biashara na mshahara wake unao kadiliwa kufikia paundi za kiingereza 10m ( Β£ 10m) kwa mwaka. . . . edgar_maseko . . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

#tbt moja ya vitu vinavyokufanya uwe na furaha kufanya jambo unaloendana nalo jambo ulilo na hisia n ...

Jun 4, 2020

#tbt moja ya vitu vinavyokufanya uwe na furaha kufanya jambo unaloendana nalo jambo ulilo na hisia nalo...kuiga kutaman kuwa kama mwingne unaweza kosa furaha kwa wakati huu usiiwazie kesho iwazie leo na siku nyingne iliyopita maana jambo liwezekanalo leo kesho lisingoje kujua kesho utafanya nn isikufanye ukose furaha cristiano MY Best player who make me hapoy all time he is a great player of all time #goat #player motivator #ronaldo #cr7 #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #lipulifc #karia #sokaletu #sokalabongo #vpl #balama #sport #football #soccer πŸ†πŸ†πŸŽ–πŸŽ–

Hatimaye tiktok yafika njombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
kwa vituko kama hv follow @sitta06r
#millardayo #mill ...

Jun 3, 2020

Hatimaye tiktok yafika njombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚ kwa vituko kama hv follow sitta06r #millardayo #millardayoupdate #tzswag #samagoal77 #shaffidauda #scolastica #sitta06r #mwajumatwahiru

Zimebaki siku 12 tu kuvunjika kwa thamani ya Pauni Milioni 50 iliyopo kwenye mkataba wa mshambuliaji ...

Jun 3, 2020

Zimebaki siku 12 tu kuvunjika kwa thamani ya Pauni Milioni 50 iliyopo kwenye mkataba wa mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner ambayo ndio thamani iliyopo kwenye mkataba wake . ( Sky Sports ) . Straika huyo wa kimataifa wa Ujerumani thamani yake ya Pauni Milioni 49 inafikia kikomo Jumatatu ya tarehe 15 mwezi huu Juni. . . . . Baada ya hapo Leipzig watakuwa huru kudai kiasi chochote ambacho watamthaminisha Werner . . . Werner ameonesha wazi kuitaka Liverpool lakini kuna vilabu kadhaa ikiwemo Chelsea ambavyo vinamtaka Mshambuliaji huyo. . . . . #kijiwe #soccer #tanzania #bet #betpawa #1xbet #mesi #messi #lewandowski #suarez #bayernmunich #barcelona #germany #spanish #bundesliga #laliga #shaffidauda #sportsarena #sportstz #michezo #bbcswahili #timowerner #liverpoolfc #transfernews

Mashabiki wa Arsenal mpooo!!
.
DAVID LUIZ yupo kwenye mchakato wa kutia wino (kandarasi mpya) Arsena ...

Jun 3, 2020

Mashabiki wa Arsenal mpooo!! . DAVID LUIZ yupo kwenye mchakato wa kutia wino (kandarasi mpya) Arsenal, amesema Rais wa Benfica bwana Luis Filipe Vieira . Mlinzi huyo, hivi karibuni alinukuliwa akisema yupo kwenye mazungumzo na Rais wa klabu ya Benfica kwa minajili ya kutaka kuhamia huko Ureno. Mkataba wa sasa wa mlinzi huyo unamalizika mwishoni mwa mwezi huu . _ Rais huyo amethibitisha pia, ni kweli alikuwa na mazungumzo na Beki huyo, lakini wasingeweza kumuda gharama za beki huyo kwa Sasa. The Sun . edgar_maseko .. . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague

BREAKING: Kocha wa Southampton Ralph Hasenhuttl amesaini mkataba mpya wa miaka minne kusalia katika  ...

Jun 2, 2020

BREAKING: Kocha wa Southampton Ralph Hasenhuttl amesaini mkataba mpya wa miaka minne kusalia katika dimba la St Mary's. . . . . . . . #kijiwe #soccer #tanzania #bet #betpawa #1xbet #mesi #messi #lewandowski #suarez #bayernmunich #barcelona #germany #spanish #bundesliga #laliga #shaffidauda #sportsarena #sportstz #michezo #bbcswahili

Ujumbe wa Kiungo wa Manchester United Paul Pogba akipinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi nchin ...

Jun 2, 2020

Ujumbe wa Kiungo wa Manchester United Paul Pogba akipinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi nchini Marekani. . . . . . . . #kijiwe #soccer #tanzania #bet #betpawa #1xbet #mesi #messi #lewandowski #suarez #bayernmunich #barcelona #germany #spanish #bundesliga #laliga #shaffidauda #sportsarena #sportstz #michezo #bbcswahili

Mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski amzid idadi ya mabao Luis Suarez mshambuliaji wa Ba ...

Jun 2, 2020

Mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski amzid idadi ya mabao Luis Suarez mshambuliaji wa Barcelona... Je unahisi Lewandowski ataendelea kuwa juu ya Suarez kwa idadi ya mabao.!? . . . . . . . #kijiwe #soccer #tanzania #bet #betpawa #1xbet #mesi #messi #lewandowski #suarez #bayernmunich #barcelona #germany #spanish #bundesliga #laliga #shaffidauda #sportsarena #sportstz #michezo #bbcswahili

#OnThisDay 
Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita klabu ya Liverpool ilitwaa ubingwa wa kombe la l ...

Jun 1, 2020

#OnThisDay Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita klabu ya Liverpool ilitwaa ubingwa wa kombe la ligi ya mbingwa barani Ulaya baada ya kuwatungua Tottenham Hotspurs. . Hadi sasa Liverpool wamefanikiwa kutwaa taji hilo mara 6 katika historia. . . edgar_maseko . . . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Ighalo na Man United 
Mshambuliaji Odion Ighalo ataendelea kubaki katika klabu ya Manchester United  ...

Jun 1, 2020

Ighalo na Man United Mshambuliaji Odion Ighalo ataendelea kubaki katika klabu ya Manchester United kwa mkopo mpaka Januari 2021 . Dili hilo linasubiriwa uthibitisho kutoka kwa chama cha soka nchini Uingereza ( FA ) . edgar_maseko . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

#WEEKENDHOMECHALLENGE stay home be safe ...⚽️⚽️⚽️⚽️ kama huna safari za muhimu weeke ...

Jun 1, 2020

#WEEKENDHOMECHALLENGE stay home be safe ...⚽️⚽️⚽️⚽️ kama huna safari za muhimu weekend kaa nyumbani #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #lipulifc #karia #sokaletu #sokalabongo #vpl #iringa #balama #sport #football #soccer πŸ†πŸ†πŸŽ–πŸŽ–

#OnThisDay 
Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita klabu ya Liverpool ilitwaa ubingwa wa kombe la l ...

Jun 1, 2020

#OnThisDay Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita klabu ya Liverpool ilitwaa ubingwa wa kombe la ligi ya mbingwa barani Ulaya baada ya kuwatungua Tottenham Hotspurs. . Hadi sasa Liverpool wamefanikiwa kutwaa taji hilo mara 6 katika historia. . . edgar_maseko . . . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Ighalo na Man United 
Mshambuliaji Odion Ighalo ataendelea kubaki katika klabu ya Manchester United  ...

Jun 1, 2020

Ighalo na Man United Mshambuliaji Odion Ighalo ataendelea kubaki katika klabu ya Manchester United kwa mkopo mpaka Januari 2021 . Dili hilo linasubiriwa uthibitisho kutoka kwa chama cha soka nchini Uingereza ( FA ) . edgar_maseko . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Kwa mujibu wa TIMES, Klabu ya Manchester United inaamini kuwa wakala  Mino Raiola ndiye anayetaka ki ...

Jun 1, 2020

Kwa mujibu wa TIMES, Klabu ya Manchester United inaamini kuwa wakala Mino Raiola ndiye anayetaka kiungo wa klabu hiyo Paul Pogba aondoke klabuni hapo . . Licha ya kuripotiwa mara kadhaa kuwa Pogba mwenyewe mwenye umri wa miaka 27 ndiye anayetaka kuondoka lakini mabosi wa klabu hiyo wanaamini wakala wake Raiola ndiye anayemshawishi ili aondoke . . Kwasasa Pogba anahusishwa kujiunga na vilabu vya Juventus pamoja na Real Madrid. . edgar_maseko . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Mchezo kati ya Sevilla Vs Real Betis utakuwa mchezo wa kwanza wa La Liga pale tu itakaporejea Juni 1 ...

Jun 1, 2020

Mchezo kati ya Sevilla Vs Real Betis utakuwa mchezo wa kwanza wa La Liga pale tu itakaporejea Juni 11,2020. . Utafuatiwa na mchezo kati ya Barcelona Vs Real Mallorca utakaofanyika Juni 13,2020. . Mchezo wa Real Madrid Vs Eibar utafanyika Juni 14,2020. . . edgar_maseko . . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Usikate tamaa!.
.
Alphonso Davies mlinzi wa kushoto wa klabu ya Bayern Munich aliwahi kuishi kwenye  ...

Jun 1, 2020

Usikate tamaa!. . Alphonso Davies mlinzi wa kushoto wa klabu ya Bayern Munich aliwahi kuishi kwenye kambi ya wakaimbizi kwa miaka mitano, . Wazazi wake walikuwa wakifanya kazi kwa masaa mengi sana, . Lakini ona sasa alipambana kupitia kipaji chake na kwa sasa ni kati ya mtu ambaye taifa la Canada linajivunia na ni mmoja kati ya walinzi bora kwa sasa barani Ulaya licha ya kuwa na umri mdogo, . Alphonso anamuweka benchi mlinzi wa muda mrefu wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Austria David Alaba. . . edgar_maseko . . . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Stop Killing Us! .

Mshambuliaji wa Borussia Monchengladbach Marcus Thuram akishangilia goli lake la ...

May 31, 2020

Stop Killing Us! . Mshambuliaji wa Borussia Monchengladbach Marcus Thuram akishangilia goli lake la kwanza dhidi ya Union Berlin kwa kwa kupiga goti chini kama ishara ya kupinga uuaji wa watu weusi, ambapo siku chache nyuma George Floyd (mtu mweusi) aliripotiwa kufariki baada ya kukandamizwa vibaya na Polisi huko Marekani . edgar_maseko . . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz

Mpango wa Uefa .

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limeripotiwa kuwa na mpango wa kuzifanya mechi za  ...

May 31, 2020

Mpango wa Uefa . Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limeripotiwa kuwa na mpango wa kuzifanya mechi za kuanzia hatua ya robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa League msimu kupigwa moja moja tu tofauti na ule mfumo uliozoeleka wa mechi mbili, ingawa bado haijathibitishwa . Uamuzi huo utajadiliwa Juni 17 wakati wa mkutano wa kamati kuu utakapoketi . edgar_maseko . . #TetesiZaSokaBaraniUlaya #manuupdates #mancity #ManchesterUnited #tottenhamhotspur #harrykane #harrykanefans #Juventus #tanfootball #tpl #maseko_jrUpdetes #azamtvmax #AzamFC #azamtv #SimbaSC #simbascazamfc #tetesizausajiliulaya #shaffidauda #VplUpdates #VodacomPremierLeague #uefachampionsleague #premierleague #PSG #mancity #mancityupdate #fifa20 #premierleague #SokaSokani #millardayosports #vpl #diamondplatnumz