#samagoal77

2943
Files

Images & Videos #samagoal77

Umejifunza nini ?

Je ulishawahi kulia kilio cha mtu mwingine?  Hatua za kwanza ni fupi lakini muhim ...

Nov 14, 2019

Umejifunza nini ? Je ulishawahi kulia kilio cha mtu mwingine? Hatua za kwanza ni fupi lakini muhimu sana, kwa sababu mambo yanayotokea wakati wa safari yako katika maisha ni funzo kwako na kwa wengine pia Ulimwengu umeumbiwa wanadamu walio na upendo huruma na wachache hujipa moyo wa kwanini na Kisha huzaa CHUKI . Walio na upendo siku zote hufaulu Kwani Hata akikosa humshukuru MUNGU . NYAMAZA KULIA : : : : : : #bongostarsearch2019 #bongostarsearch #bongo #baba_tj #hamisamobetto #diamondplatnumz #wasaf4life #samagoal77 #rayvanny #wemasepetu #huddahcosmetics #millardayo #vanesamdee #akothee #new_kajala #shaffidauda #nandytz #malkia_wa_mipasho #susanbernard #alikiba #idrissultan #ireneuwoya #ireneuwoya8 #millardayo #vanesamdee #

mizuka ya zimbwe hiyo sasa we shabiki 
unakaa nyuma nyuma twendeni tena
tukutane taifa kesho tukauja ...

Nov 14, 2019

mizuka ya zimbwe hiyo sasa we shabiki unakaa nyuma nyuma twendeni tena tukutane taifa kesho tukaujaze uwanja Follow #officialtumbi #nguvumoja #tanzania #samagoal77 #simba #vodacompremierleague #sportscar #sports #sportpesa #sportarena #thisissimba #simbasc #taifastars #tanfootball #football #azamsports2 #balaaziiitooo #wcb_tweets #wcbwasafi #wcb_reporter

Fanya kile unachoona kwako ni sahihi. Usikubali kurudishwa nyuma. 
@shaffihdauda_ @sixberthongoli @d ...

Nov 14, 2019

Fanya kile unachoona kwako ni sahihi. Usikubali kurudishwa nyuma. shaffihdauda_ sixberthongoli diamondplatnumz wcb_wasafi #ifm #samatha #samagoal77

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amerudi kwenye soka kivingine baada ya kukubali nafasi ya  ...

Nov 14, 2019

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amerudi kwenye soka kivingine baada ya kukubali nafasi ya Ukuu katika Idara ya Maendeleo ya Soka ndani ya Shirikisho la Soka duniani fifaworldcup Uteuzi huu unaondoa uvumi uliokuwepo kuwa Wenger angejiunga na Bayern Munich kama kocha. Arsène Wenger, OBE aliifundisha klabu ya Arsenal kutoka mwaka 1996 hadi 2019. #samagoal77 #zurich #HabariLeoUptades

Vinara wa mabao Simba ...

Nov 14, 2019

Vinara wa mabao Simba

Mechi 5 za kwanza Ambazo Pukki amecheza  #epl
Magoli 6
Pasi 2

Mechi 7 zilizofuata baada ya hizo tan ...

Nov 14, 2019

Mechi 5 za kwanza Ambazo Pukki amecheza #epl Magoli 6 Pasi 2 Mechi 7 zilizofuata baada ya hizo tano za mwanzo. Magoli 0 Pasi 0 . Tutarajie Nini kwake..? SportBc_Update . Follow sportbc__ . . . . . . . #SportBc_Update #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga #cr7 .

πŸ†πŸ…°πŸ†‚πŸ…ΌπŸ…Έ Zlatan Ibrahimovic Ameachana na Klabub yake ya La Galax Inayo shiriki Ligi kuu  ...

Nov 14, 2019

πŸ†πŸ…°πŸ†‚πŸ…ΌπŸ…Έ Zlatan Ibrahimovic Ameachana na Klabub yake ya La Galax Inayo shiriki Ligi kuu Marekani Huenda tayari amekamilisha dili lake la Kurudi kwenye klabu yake ya Zamani ya AC Milan aliyo itumikia mwaka 2010 na 2012 #SportBc_Update Follow sportbc__ . . . . . . . #SportBc_Update #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga #cr7 .

Watanzania dua njema tunakuombea kijana wetu @kelvin.p.john πŸ‡ΉπŸ‡Ώ .
.
.
#tff#tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #ta ...

Nov 14, 2019

Watanzania dua njema tunakuombea kijana wetu kelvin.p.john πŸ‡ΉπŸ‡Ώ . . . #tff #tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #taifastars #samagoal77 #nguvumoja #simbasc #simba #yangasc #yangascbingwaupdates #shaffidauda #milladayoupdates

FIFA Imemtangaza Aliye kuwa kocha wa zamani wa Arsenal ( Arsene Wenger) kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ...

Nov 13, 2019

FIFA Imemtangaza Aliye kuwa kocha wa zamani wa Arsenal ( Arsene Wenger) kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo Ya Soka Duniani #SportBc_Update KWA HABARI ZOTE ZA MICHEZO Follow sportbc__ . . . . . . . #SportBc_Update #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga #cr7 .

Ratiba Ya Mechi za Leo Kufuzu #2021 #SportBc_Update . ...

Nov 13, 2019

Ratiba Ya Mechi za Leo Kufuzu #2021 #SportBc_Update .

HII IJE HATA KWENYE TIMU ZETU TZπŸ˜‚πŸ˜‚ Hizi ndizo faini alizoweka Frank Lampard kwa wachezaji wake ...

Nov 13, 2019

HII IJE HATA KWENYE TIMU ZETU TZπŸ˜‚πŸ˜‚ Hizi ndizo faini alizoweka Frank Lampard kwa wachezaji wake msimu huu 2019-2020: . 1. Ukichelewa kufika kwenye mechi - paundi 2500 (Tsh. milioni 7.3) 2. Ukichelewa mazoezini - paundi 2500 (na utalipa paundi 1500 kila baada ya dakika 15) (Tsh. milioni 7.3 na kama ukiongeza Tsh. milioni 4.4) 3. Ukichelewa 'gym' - paundi 1000 (Tsh. milioni 2.9) 4. Ukichelewa kuwekwa sawa mwili - paundi 2500 (Tsh. milioni 7.3) 5. Ukichelewa kwenye vikao vya timu - paundi 500 kwa kila dakika (Tsh. milioni 1.4) 6. Ukichelewa kuanza mazoezi - paundi 20000 (Tsh. milioni 59) 7. Simu yako ikiita wakati wa chakula cha pamoja au kwenye kikao - paundi 1000 (Tsh. milioni 2.9) 8. Ukivaa nguo tofauti na iliyopangwa kwa ajili ya kusafiri au kwa ajiki ya mechi - paundi 5000 (Tsh. milioni 14.6) 11. Kama haujatoa taarifa kama unajiskia vibaya au una majeruhi lakini haujatoa taarifa saa moja na nusu kabla ya kuanza kwa mazoezi - paundi 10000 (Tsh. milioni 29) 12. Kuchelewa kwenye vipimo vya afya - paundi 2500 (Tsh. milioni 7.3) . Kwa kazi hapana masihara kabisa, huyo ndio Frank Lampard πŸ”₯ (dominik Salamba) #SportBc_Update

πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Be happy all days life is to short
#Saleh 5 
#Meindizzoh 
#evox ...

Nov 13, 2019

πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Be happy all days life is to short #Saleh 5 #Meindizzoh #evoxofficial #samagoal77

VINARA WA MAGOLI YANGA SC πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ ...

Nov 13, 2019

VINARA WA MAGOLI YANGA SC πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Michezo ya kutoana roho huu mchezo si chez wala siushangilii heri nicheze karata naskia unataka kuja ...

Nov 13, 2019

Michezo ya kutoana roho huu mchezo si chez wala siushangilii heri nicheze karata naskia unataka kuja #tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ wodi ya mifupa ijiandae kupokea wagonjwa wapya . simbasctanzania breaking_news . #samagoal77 #sanfrancisco #kelvinbenjamin #kanyaga #yopechallenge #yankees #interior2you #inama #arusha #azamsports2 #azamsportshd #azamtvtz #ommydimpoz #chugacomedy #disneyland #rostam #babadangot #chombokwahewa #smallbusines

SkySport Wamefanya Utafiti kwa kuuliza Wadu mbali mbali wa Soka Kama Arsenal Watakuwa Top 4 msimu hu ...

Nov 13, 2019

SkySport Wamefanya Utafiti kwa kuuliza Wadu mbali mbali wa Soka Kama Arsenal Watakuwa Top 4 msimu huu Asilimia 93 wamesema hawataweza Asilimia 7 wamesema Inawezekana πŸ˜€πŸ˜€ Nini maoni yako #Sportbc_Update πŸ™Follow sportbc__ . . . . . . . #SportBc_Update #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga #cr7 .

Nyumba Inauzwa
Ipo dar es salaam tz
Eneo ni mbezi malamba mawili

Umbali ni dk (4) toka barabara  ya ...

Nov 13, 2019

Nyumba Inauzwa Ipo dar es salaam tz Eneo ni mbezi malamba mawili Umbali ni dk (4) toka barabara ya lami ya mbezi-kinyerezi Ni nyumba kubwa nzuri ya kisasa inayojitegemea Yenye/ vyumba vitatu vya kulala kimoja ni masta, sebule dinning jiko stoo na public toilet Maji yapo jirani Umeme upo Nyaraka za umiliki/ Ni mkataba wa mauziano toka s/ za mitaa, Ukubwa wa kiwanja ni mita 20/20 Inauzwa Tsh-milion-16/ Malipo ya dalali' ni makubaliano kabla ya kununua nyumba, Mpendwa mteja wangu, kama unachochote unachouza, au unachohitaji, iwe nyumba, kiwanja, shamba gari, nk...(popote tz) tafadhali tuwasiliane, Kwa mawasiliano piga/ +255 785865957 +255 756690370 Call/what's app no +255 718949492 . . . . . . . . #diamondplatnumz #afficialalikiba #wemasepetu #mangekimambi_ #ireneuwoya8 #jotiofficial #shilawadu #hajismanara #udakutz_ #tigofiesta2019 #dalalimwanamke #rayvanny #bongofive #shaffihdauda #bongostarsearch2019 #changetanzania #poshyqueeen #msemajimkuuwaserikali #yerickonyerere #samagoal77 #jumalokole2 #chadema_in_blood #millardayoupdates #mkudesimbaoriginal #ericshigongoπŸ“πŸ–Š #mpokicomedyofficial #wasafitv #_esmaplatnumz #azamtvtz

Imani yangu naiweka kwako ,Bwana nitumie kama chombo cha Amani .Nakupenda Tanzania Nitakujenga Tanza ...

Nov 13, 2019

Imani yangu naiweka kwako ,Bwana nitumie kama chombo cha Amani .Nakupenda Tanzania Nitakujenga Tanzania ni bado nitazidi kukutunza na kukulinda Mungu bariki Afrika LINK KWA BIO YANGU USIKIZE / UTAZAME WIMBO ● TUIJENGE TANZANIA πŸ†•οΈ official_saimonvedastus .πŸ‘† . πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ #umeme #maji #elimu #pemba #unguja #dodoma #mikoani #darmpya #samagoal77 #starwars #rukwa #ilala #kondeboymgahawa #babalao #cloudsplus #efmtz #startv #udaku #shalom #ourcolourdays #madeinkenya #igersnairobi #Nairobi #fashionkenya #254fashion #kenyaphotograph #wasafimediastudio

Wa-Tanzania wameninukuu Vibaya 
Mimi nilitoa kauli ile kwa Nia nzuri tu ni meshtuka sana Kwani Umesa ...

Nov 12, 2019

Wa-Tanzania wameninukuu Vibaya Mimi nilitoa kauli ile kwa Nia nzuri tu ni meshtuka sana Kwani Umesambazwa sana wakati mimi nilikuwa na nia nzuri Manula ni Mchezaji wa Tanzania na Amefanya makubwa ninacho waomba wa-Tanzania wawe kitu kimoja waje waishangilie Timu yao ya Taifa" (Juma Mgunda baada ya kuulizwa kuhusu Kauli yake iliyo nukuliwa akisema "sisi hatuchagui Sura hatuji kuposa) πŸ™Follow sportbc__ . . . . . . . #SportBc #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #saimon_simba #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga #cr7 .

"Hatumchagui mtu kwa sura yake kwa sababu hatukuja kuposa sisi, Tunachagua mchezaji Mtanzania mwenye ...

Nov 12, 2019

"Hatumchagui mtu kwa sura yake kwa sababu hatukuja kuposa sisi, Tunachagua mchezaji Mtanzania mwenye uwezo wa kucheza." Kauli ya Mgunda alipo ulizwa kwanini Hawaja muita Aishi Manura kwenye Timu Ya Taifa . NINI MAONI YAKO πŸ™Follow goal.tz . . . . . . . #GoalTzupdate #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #saimon_simba #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga #cr7 .

"Hatumchagui mtu kwa sura yake kwa sababu hatukuja kuposa sisi, Tunachagua mchezaji Mtanzania mwenye ...

Nov 12, 2019

"Hatumchagui mtu kwa sura yake kwa sababu hatukuja kuposa sisi, Tunachagua mchezaji Mtanzania mwenye uwezo wa kucheza" (Mgunda) Hii kauli ya Kocha msaidi wa timu ya Taifa Juma Mgunda kwa Aishi Manula sio ya kufurahia wala kuishabikia, inapaswa kupingwa vikali na mashabiki wa soka wote bila kujali ushabiki wetu wa vilabu. Juma Mgunda kwa nafasi yake hakupaswa kutoa kauli Kama hii kwa Aishi Manula, kama anaona Aishi Manula kwa sasahivi hana kiwango au nafasi ya kuichezea timu ya Taifa basi walau angeonyesha kumuheshimu na kuthamini mchango Ambao Aishi Manula amewahi kuutoa katika timu ya Taifa, Tukiacha ushabiki wetu, wote ni mashahidi, nyakati zote ambazo Manula amekuwa katika majukumu ya timu ya Taifa, amekuwa akijitoa kwa moyo na maarifa yake yote kulitetea Taifa lake, Kauli Kama hii haifai kutamkwa kwa Manula na wachezaji wengine ambao wamekuwa wakivuja jasho na kukubali kujitoa kwa moyo na nguvu zao zote na wakati mwingine mpaka kuumia kwaajili ya kulitetea Taifa lao. Mgunda ni Kama baba au mzazi kwa Aishi, anapomtolea kauli Kama hii, haipendezi hata kidogo, kauli Kama hii inamvunja moyo na kumkatisha tamaa. Mgunda Kama anaona Aishi hivi sasa Hana nafasi Kwenye kikosi cha timu ya Taifa, Basi asimtolee maneno mabaya kwani Manula bado ana Safari ndefu ya maisha ya soka, leo Mgunda anamuona Manula hana nafasi Taifa Stars ila Kuna muda timu ya Taifa itakuja kumuhitaji Manula na atatakiwa kurudi kulitumikia Taifa lake. Nani alijua Kama Juma Kaseja anaweza kuitwa tena timu ya Taifa na akawa msaada mkubwa kwa timu ya Taifa? Wakati wote tulikuwa tunaamini Juma Kaseja kwa umri wake ndio basi tena, tulojua ameisha na hatuwezi kumuona tena kwenye jezi ya timu ya Taifa. Tujifunze kuweka akiba ya maneno kwa wachezaji wetu lakini hawa wachezaji ni binadamu kama tulivyo sisi sote, baadhi ya kauli zetu zinawaumiza Sana, πŸ™Follow goal.tz . . . . . . . #GoalTzupdate #goal #sisinisoka #shaffihdauda #michezo #diamond #alikiba #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #yeswecan #Football #footballnews #skysport #saimon_simba #mangekimambi #soccer #neymar #messi #vichekesho #funny #samagoal77 #epl #Mwanza #washkajizangu #kwangwaru #tetema #LaLiga

Furaha ya #samagoal77 na #smsuva27  baada ya kukutana na Dokta Lick Abdallah kuelekea mchezo dhidi y ...

Nov 12, 2019

Furaha ya #samagoal77 na #smsuva27 baada ya kukutana na Dokta Lick Abdallah kuelekea mchezo dhidi ya Equatorial Guinea Novemba 15,2019 kufuzu Afcon 2021. Twenzetu Tena . Unahisi dokta lick anambambia nn? #kwako_mwalim_kashasha

Fanya kugusa link kwa bio yangu hapo juu 
Asante mpendwa wangu  @beatricegaston4 toka USA kwa kuzidi ...

Nov 12, 2019

Fanya kugusa link kwa bio yangu hapo juu Asante mpendwa wangu beatricegaston4 toka USA kwa kuzidi kuwa mwema jeangu πŸ’₯πŸ”₯Tuijenge Tanzania Usisahau ku subscribe . . . #umeme #maji #elimu #pemba #unguja #dodoma #mikoani #darmpya #samagoal77 #starwars #rukwa #ilala #kondeboymgahawa #babalao #cloudsplus #efmtz #startv #udaku #shalom #ourcolourdays #madeinkenya #igersnairobi #Nairobi #fashionkenya #254fashion #kenyaphotograph #wasafimedia

Nyumba/ Apatment inapangishwa
Ipo dar es salaam tz
Eneo ni kibamba kwa mangi

Umbali ni mita (500) t ...

Nov 12, 2019

Nyumba/ Apatment inapangishwa Ipo dar es salaam tz Eneo ni kibamba kwa mangi Umbali ni mita (500) toka barabara ya lami Yenye/ Vyumba viwili vya kulala (haina masta) Sebule jiko na public toilet Ina tiles gypsum slide windows Luku ni yakujitegemea Maji yapo ya bomba Car parking space ipo Kodi ni tsh-250,000/ kwa mwezi Malipo ni miezi (6) nk.. Pamoja na malipo ya kodi ya mwezi (1) kwa dalalishirima Mpendwa mteja wangu, kama unauza chochote, au unahitaji chochote, iwe nyumba kiwanja shamba gari nk.. Popote tz, Tafadhali tuwasiliane, Kwa mawasiliano piga/ +255 785865957 +255 756690370 Call/what's app no +255 718949492 . . . . . . . . . . #diamondplatnumz #afficialalikiba #wemasepetu #hajismanara #harmonize_tz #mangekimambi_ #jotiofficial #shilawadu #msemajimkuuwaserikali #udakutz_ #_esmaplatnumz #dalalimwanamke #rayvanny #wasafimedia #bongofive #shaffihdauda #bongostarsearch2019 #changetanzania #poshyqueeen #yerickonyerere #jumalokole2 #millardayo #mkudesimbaoriginal #tanzanianweddings #tigofiesta2019 #mpokicomedyofficial #azamtvtz #samagoal77

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯@kelvin.p.john X Ibrahim
. .
#tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #samagoal77 #tff ...

Nov 12, 2019

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ kelvin.p.john X Ibrahim . . #tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #samagoal77 #tff

Hatimae Mchambuzi mkongwe wa soka nchini, Dk Leakey alipokutana kwa mara ya kwanza na wachezaji Mbwa ...

Nov 12, 2019

Hatimae Mchambuzi mkongwe wa soka nchini, Dk Leakey alipokutana kwa mara ya kwanza na wachezaji Mbwana Samatta na Simon Msuva walipowasili katika uwanja wa ndege leo. #samagoal77 #Tanzania #zittokabwe

Fanya ku bofya  link kwa bio yangu hapo juu kutazama wimbo huu
Asante mpendwa wangu  Best of Best  g ...

Nov 12, 2019

Fanya ku bofya link kwa bio yangu hapo juu kutazama wimbo huu Asante mpendwa wangu Best of Best guitarist #πŸ‡ΊπŸ‡Έ #πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ—½ beatricegaston4 toka #usa kwa kuzidi kuwa mwema kwangu πŸ’₯πŸ”₯Tuijenge Tanzania Usisahau ku subscribe .πŸ‘† . . #umeme #maji #elimu #pemba #unguja #dodoma #mikoani #darmpya #samagoal77 #starwars #rukwa #ilala #kondeboymgahawa #babalao #cloudsplus #efmtz #startv #udaku #shalom #ourcolourdays #madeinkenya #igersnairobi #Nairobi #fashionkenya #254fashion #kenyaphotograph #wasafimediastudio

Samata ,msuva watu bongo ..kibabe ..tayari kuimaliza equatorial guinea...
#samagoal77 ...

Nov 12, 2019

Samata ,msuva watu bongo ..kibabe ..tayari kuimaliza equatorial guinea... #samagoal77