#lukinjatigana

280
Files

Images & Videos #lukinjatigana

Tupambanishe BARA LA ULAYA VS BARA LA AMERICA KUSINI .. naona kuna upande kama team ya taifa tu moja ...

Jun 5, 2020

Tupambanishe BARA LA ULAYA VS BARA LA AMERICA KUSINI .. naona kuna upande kama team ya taifa tu moja hakuna wachezaji kwa sasa vipaji vimeisha kabisa huko ardhi imefubaa kuzalisha wachezaji hakuna tunasubiri tu nguvu ya soda kuwaona #ronaldo #cr7 #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #lipulifc #karia #sokaletu #sokalabongo #vpl #balama #sport #football #soccer⚽️⚽️⚽️

#tbt moja ya vitu vinavyokufanya uwe na furaha kufanya jambo unaloendana nalo jambo ulilo na hisia n ...

Jun 4, 2020

#tbt moja ya vitu vinavyokufanya uwe na furaha kufanya jambo unaloendana nalo jambo ulilo na hisia nalo...kuiga kutaman kuwa kama mwingne unaweza kosa furaha kwa wakati huu usiiwazie kesho iwazie leo na siku nyingne iliyopita maana jambo liwezekanalo leo kesho lisingoje kujua kesho utafanya nn isikufanye ukose furaha cristiano MY Best player who make me hapoy all time he is a great player of all time #goat #player motivator #ronaldo #cr7 #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #lipulifc #karia #sokaletu #sokalabongo #vpl #balama #sport #football #soccer 🏆🏆🎖🎖

#WEEKENDHOMECHALLENGE stay home be safe ...⚽️⚽️⚽️⚽️ kama huna safari za muhimu weeke ...

Jun 1, 2020

#WEEKENDHOMECHALLENGE stay home be safe ...⚽️⚽️⚽️⚽️ kama huna safari za muhimu weekend kaa nyumbani #lukinjatigana #simbatanzania #shaffidauda #edokumwembe #yangasc #giftmash #sokaonline #privadinho #azamtv #azam #lipulifc #karia #sokaletu #sokalabongo #vpl #iringa #balama #sport #football #soccer 🏆🏆🎖🎖

Azam anataka kuruka geti huku yanga anataka kuruka ukuta wa mabua mlinzi kasinzia kweli ngoja tuone  ...

May 29, 2020

Azam anataka kuruka geti huku yanga anataka kuruka ukuta wa mabua mlinzi kasinzia kweli ngoja tuone nani atashikwa hapa 😂🏆🏆🏆🏆😂 #sokaonline #simbatanzania #edokumwembe #shaffidauda #soka24_ #sokaletu #simba #giftmash #lukinjatigana #aquino #cof

Jamaaa mmoja hivi aliyekuwa na uwezo wa kucheza maeneo tofauti tofauti ndani ya uwanja ....
Kama for ...

May 4, 2020

Jamaaa mmoja hivi aliyekuwa na uwezo wa kucheza maeneo tofauti tofauti ndani ya uwanja .... Kama forward halafu ukimrudisha kama Defensive midifilder pia unamkuta anapiga kiroho safi.... Anakumbwa sana na klabu ya Zamaleck kwani alifanya makubwa akiwa pale kuanzia miaka ya 2002 - 2005, akatoka akaelekea PAOK hakumaliza misimu miwili alimaliza mmoja tu ndipo jamaa akarudi tena... 2006 - 2014 aliporudi Zamaleck alifanikiwa kucheza mechi 112 na kufunga magoli 49, ... Jamaa akatoka tena kueleka Maeneo ya Sporting cp Hakukaa akarudi tena 2015 Zamaleck na akacheza mechi 42 na kufunga magoli 7, baada ya pale wakaanza kumpeleka kwa mkopo katika vilabu mbalimbali kama vile ismaily hadi sasa bado yupo kwenye vilabu vingine hajarudi tena Zamaleck.... But alikuwa na wakati mzuri sana alipokuwa pale....... Kwangu ni hayo tu....👏🏽👏🏽👏🏽.. . . . #georgeambangile #kitengemaulid #shafidauda #lukinjatigana #kashasha #cloudsfm

Bridge exercise .....
Ni zoezi linalosaidia kukata tumbo na kupunguza mafuta chini ya tumbo .....
Ki ...

May 3, 2020

Bridge exercise ..... Ni zoezi linalosaidia kukata tumbo na kupunguza mafuta chini ya tumbo ..... Kila siku ukifanya walahu Mara 20 - 30 itakusaidia ...... . . . #tff #frat #franklampard #pepguardiola #wasafitv #georgoambangile #maulidkitenge #shaffidauda #magazine #magufuli #tanzaniamediafoundation #itv #eatv #lukinjatigana #osaka #oscarmilambo #ramadhanmakonda #startv #cloudstv #efm #deanwinchester #healthylifestyle #physicalfitness #agilitytraining

lunchtime .
.
.
.
.
.
.
.
.
#lukinjatigana 
#lugumilejohn ...

Mar 28, 2020

lunchtime . . . . . . . . . #lukinjatigana #lugumilejohn

Mazoezi muhimu San.. though atuna mwl. Bado tunakiwasha 
#lukinjatigana ...

Feb 2, 2020

Mazoezi muhimu San.. though atuna mwl. Bado tunakiwasha #lukinjatigana

JE WAJUA? 🤔
Wilfried Mbappe raia wa Cameroon ambaye ndiye Baba mzazi wa Kylian Mbappe, anasema nd ...

Jan 16, 2020

JE WAJUA? 🤔 Wilfried Mbappe raia wa Cameroon ambaye ndiye Baba mzazi wa Kylian Mbappe, anasema ndoto yake alitaka mtoto wake aitumikie timu hii ya Africa ya kati, Lakini ndoto hizi ziligonga mwamba kwasababu ya RUSHWA... • Anasema alisafiri na mtoto wake kutoka Ufaransa mpaka nchini kwao Cameroon, na moja kwa moja alienda na Mbappe katika shirikisho la Mpira nchini humo (Cameroon FA)... Wilfried Mbappe alinukuliwa akisema "Kwa mara ya kwanza nilitaka Mtoto wangu (Mbappe) acheze Cameroon lakini, kuna mtu fulani katika Shirikisho la Mpira wa miguu Cameroon alinitoza kiasi cha fedha ambacho sikuweza kuwa nacho ili kufanya mwanangu acheze (ili awe anaitwa Timu ya taifa)... Lakini Shirikisho la Ufaransa hawakuwahi kunitoza kitu chochote..." ⚽🔥 • Na hatimaye leo hii Kylian Mbappe ni mchezaji mkubwa duniani akifanikiwa kuweka rekodi za kila aina ikiwemo kuwa Mchezaji wa Pili duniani kufunga goli katika fainali za Kombe la dunia (Russia 2018) akiwa na umri wa miaka 19... Wakwanza ni mkongwe wa kibrazil PELE aliyefanya hivyo katika Fainali za Kombe la dunia mwaka 1958... 👏🦁🔥⚽🏆 • Hivyo basi sio siri ni rahisi sana kwa watu wenye pesa watoto wao kupata nafasi katika timu zetu za Africa haswa katika Soka la Vijana. Kitu ambacho kinazidi kutugharimu kila kukicha. #footballfans #Kimataifa #sports #internationalfootball #africansport #mpwapwa #afc #kylianmbappe #france #football #Soccer #Michezo #Swahili #Burudani #Jewajua #lukinjatigana #edokumwembe #uefa #caf #mesutozil #georgeambangile #sportsarena #neymar #psg #asmonaco #didyouknow 66loyalty lia.lewiis hamidasadrul

Goli LA Mbwana Ally Samatta alilowafunga Liverpool kwenye mchezo wa klabu bingwa barani ulaya katika ...

Nov 6, 2019

Goli LA Mbwana Ally Samatta alilowafunga Liverpool kwenye mchezo wa klabu bingwa barani ulaya katika uwanja wa Anfield 👏👏👏🔥🔥🔥 kongole Samatta umeandika historia nyingne kubwa katika maisha yako kuifunga goli team kubwa barani ulaya kama Liverpool mbele ya beki bora duniani Virgil Van Dijk VVD pia golikipa bora duniani Allison Becker hakika ni ufunguo tosha wa ukurusa mwingine katika maisha yako ya soka . . Keep itup Our golden boy +255 samagoal77 💪💪👏👏🔥🔥🔥 . UEFA CHAMPIONS LEAGUE RESULT Tuesday 05 November 2019. . FULL TIME. LIVERPOOL 2-1 KRC GENK . Follow rc9sports ⚽⚽⚽⚽💪💪💪💪🔥 . #UEFA #uefachampionsleague #mbwanasamatta #samatta #samagoal77 #wasafitv #wandex📷 #kingkiba #cr7 #wasafisportsarena #shaffidauda #cloudstv #sportsextra #dominicksalamba #edokumwembe #lukinjatigana #football #soccernews #updates #sports #worldsports #worldfootball #soccer #COF Halacof💪💪⚽⚽⚽⚽⚽🔥🔥🔥🔥

Goli LA Mbwana Ally Samatta alilowafunga Liverpool kwenye mchezo wa klabu bingwa barani ulaya katika ...

Nov 6, 2019

Goli LA Mbwana Ally Samatta alilowafunga Liverpool kwenye mchezo wa klabu bingwa barani ulaya katika uwanja wa Anfield 👏👏👏🔥🔥🔥 kongole Samatta umeandika historia nyingne kubwa katika maisha yako kuifunga goli team kubwa barani ulaya kama Liverpool mbele ya beki bora duniani Virgil Van Dijk VVD pia golikipa bora duniani Allison Becker hakika ni ufunguo tosha wa ukurusa mwingine katika maisha yako ya soka . . Keep itup Our golden boy +255 samagoal77 💪💪👏👏🔥🔥🔥 . UEFA CHAMPIONS LEAGUE RESULT Tuesday 05 November 2019. . FULL TIME. LIVERPOOL 2-1 KRC GENK . Follow rc9sports ⚽⚽⚽⚽💪💪💪💪🔥 . #UEFA #uefachampionsleague #mbwanasamatta #samatta #samagoal77 #wasafitv #wandex📷 #kingkiba #cr7 #wasafisportsarena #shaffidauda #cloudstv #sportsextra #dominicksalamba #edokumwembe #lukinjatigana #football #soccernews #updates #sports #worldsports #worldfootball #soccer #COF Halacof💪💪⚽⚽⚽⚽⚽🔥🔥🔥🔥

Manchester hii tunapata hadi homa zisizo eleweka 😂😂😂#lukinjatigana #james_samwel31 ...

Oct 8, 2019

Manchester hii tunapata hadi homa zisizo eleweka 😂😂😂 #lukinjatigana #james_samwel31

Chama cha bodi ya ligi kinapitishwa kwenye moto wa kipenga 
Haya tuanze kumsulubu mapema kabla ya sa ...

Jun 6, 2019

Chama cha bodi ya ligi kinapitishwa kwenye moto wa kipenga Haya tuanze kumsulubu mapema kabla ya saa mbili usiku. Kipi kilikukera ligi iliyopita mimi nitamchana makavu kweupeee #davidkampista #lukinjatigana

My fans
Have a blessed Sunday.
.Mungu awaajalie afya njema

#banacongo 
#rwanda 
#lukinjatigana
#pat ...

May 19, 2019

My fans Have a blessed Sunday. .Mungu awaajalie afya njema #banacongo #rwanda #lukinjatigana #patrickgakumba #goma #rwandaupdates

Congratulations Genk!
Congratulations Mbwana Samata.
Genk are Belgium CHAMPIONS 
#genk 
#samagoal77  ...

May 17, 2019

Congratulations Genk! Congratulations Mbwana Samata. Genk are Belgium CHAMPIONS #genk #samagoal77 #tanzaniafootballfederation #lukinjatigana #krcgenkofficial

Zaidi ya Mwakinyo leo stand up Taifa stars #lukinjatigana #Shaffiidauda #Shadrack #Tff ...

Mar 24, 2019

Zaidi ya Mwakinyo leo stand up Taifa stars #lukinjatigana #Shaffiidauda #Shadrack #Tff

Mario  will be always Mario#Shaffiidauda#Eddokumwembe#lukinjatigana#Esports ...

Mar 4, 2019

Mario will be always Mario #Shaffiidauda #Eddokumwembe #lukinjatigana #Esports

MZIKI SI WAMEUONAA, LABDA WAMSAJIL SHETANI, 😹😹😹😹 SIMBAAAA MNATUAIBISHA KINYAMAA, 
#senga ...

Feb 3, 2019

MZIKI SI WAMEUONAA, LABDA WAMSAJIL SHETANI, 😹😹😹😹 SIMBAAAA MNATUAIBISHA KINYAMAA, #senga #pembe #hajimanara #simba #shaffih #kasuga #lukinjatigana

Huu ubaya nje nje na jirani yangu mgomba uko nje ndiz zko ndani kwangu#lukinjatigana#mpokicomedyofic ...

Nov 5, 2018

Huu ubaya nje nje na jirani yangu mgomba uko nje ndiz zko ndani kwangu #lukinjatigana #mpokicomedyoficial